Shirika la Habari la Kimataida la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sherehe za kuanza mwaka mpya wa masomo katika Chuo cha Kidini cha Jami'at al-Zahra (s.a) na Vyuo vya Dini vya Wanawake zimefanyika leo hii, Jumanne tarehe tarehe 16-09-2025, zikiongozwa na hotuba ya Ayatollah Araafi, Rais wa Baraza la Sera la Vyuo vya Dini vya Wanawake.
16 Septemba 2025 - 17:11
News ID: 1727669
Your Comment